3 ms·
kiswahili lugha yangu ya kwanza kama mtanzania niliyezaliwa na kukulia dar es salaam,tanzania. kuna watanzania wengi tu hapa HN na walijitokeza kwenye thread m
by mhogomchungu 12y ago
kiswahili lugha yangu ya kwanza kama mtanzania niliyezaliwa na kukulia dar es salaam,tanzania.
kuna watanzania wengi tu hapa HN na walijitokeza kwenye thread moja miezi michache iliyopita. Siwezi kupost link ya hiyo thread sababu siikumbuki link yenyewe na nahisi uvivu kuitafuta.
- thebenedict 12y agoA few folks showed up here: https://news.ycombinator.com/item?id=7837397 https://news.ycombinator.com/item?id=7837397